Bony Mwaitege - Usijitetee (Official Music Video) SMS SKIZA 9840975 TO 811
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ... Bony Mwaitege - Usijitetee Official Video- ni kazi yangu mpya na ya kwanza kati ya video nyingi ambazo ntaziachilia mwaka huu,Mungu amenipa kibali cha kuipeleka injili tena kwa njia hii.,nikuombe uungane nami katika kuwafikia mataifa. Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739. MUNGU AKUBARIKI SANA.
You Might Also Like
ZABRON SINGERS-ATAFANYA KITU (Official Video)
Rose Muhando -Sitanyamaza
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
Joel Lwaga - Umenishangaza (Official Music Video)
Rose Muhando Ee Mungu Nitakushukuru
Christina Shusho - Wa kuabudiwa (Official Video)
Agape Gospel Band - Nimeziona Baraka za Bwana ( Official Music Video )
Martha Mwaipaja & Bahati Bukuku - NIMEMTHIBITISHA (OfficialVideo)For skiza SMS: Skiza 6983295 to 811
BWANA U SEHEMU YANGU(Tenzi za Rohoni) By dinuzeno
Martha Mwaipaja - Mambo Yamebadilika (Official Music Video)
Zoravo - Neema Yako Yanitosha (Official Live Video)
Mathias Walichupa - Nitashinda [Official Music Video]
Comments
1 Comments
