Israel Mbonyi - Nitaamini
stream at https://bfan.link/nita-amini Keep up with Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Nita Amini ____________ Verse : Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya, Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu Chorus : Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe sitaogopa kamwe Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu, Si na mashaka wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini Verse : Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima. Outro : Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu ©12stonesRecord
Cast
Israel Mbonyi
Singer
You Might Also Like
Shenseea - Dating Szn (Options) [Official Music Video]
DANCEHALL MIX 2023 - GYAL SUMMER MIX FT. MAVADO, AIDONIA, VYBZ KARTEL, POPCAAN, ALKALINE & MORE
Zuchu - Amanda (Visualizer)
ArianaGrande Mix 2023
Vybz Kartel - Colouring This Life
Lionel Richie, Phil Collins, Air Supply,Bee Gees, Chicago, Rod Stewart - Best Soft Rock 70s,80s,90s
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
Bob Marley Greatest Hits Reggae Songs 2023 | Bob Marley Full Playlist
Best Sex
T.A.Y.L.O.R S.W.I.F.T- Best Pop Songs Playlist 2023- T.A.Y.L.O.R.S.W.I.F.T Top Songs
Shenseea, Jahmiel - Tell Me (Official Video)
Comments
2 Comments
One day yes I trust in God everything it's possible
