Exploring Tamaa, Being Curious with Ubongo Kids! | Swahili Verses | Ubongo Kids
Jamani, unafanyaje ukipata mtihani wa maisha? Usikate tamaa, kuwa mstahimilivu! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
You Might Also Like
Primary 6 English
Primary 3 English
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Exploring Tamaa, Being Curious with Ubongo Kids! | Swahili Verses | Ubongo Kids
Primary 1 English
PrePrimary English
Primary 2 English
Level 1 English | Little Fox
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
Good Food to Make Me Strong | Read with Akili and Me | Educational Cartoons for Preschoolers
Kiduchu Shupavu! | Videos of Kiduchu from Ubongo Kids
Stories with Ubongo Kids! | Swahili Episodes | Ubongo Kids
Comments
1 Comments
Jamani, unafanyaje ukipata mtihani wa maisha? Usikate tamaa, kuwa mstahimilivu! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Ju
